Sokoine university of agriculture

By Albart tz

Chuo kikuu cha sokoine kinapenda kuwakumbusha wanachuo wote kuwa makini na kujipanga vema ili kuhakikisha kwenye kipindi hichi cha kumalizia mitihani kuwa macho na kwa wanaoondoka kuchukua usafiri utakao wafikisha wsendako

Aidha management na staff nzima inawatakiha kila lakheri wanachuo ambao washamaliza mitihani yao  na ambao wanamalizia mitihani yao 

Hivyo kwa wote ambao awajaondoka na jipange maana kesho ndio leo na muwe na likizo njema
Imeandaliwa na sua management

Toa mapendekezo yako kupitia hukurasa huu

Also join us for more update
Whatsaap channel 

Msomi wetu

Tembelea bloggers yetu kwa ajili ya kupata habari mbalimbali za michezo burudani elimu nakadhalika

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post