Utafiti umebaini kuwa kuishi katika nyumba za kukodi ni chanzo cha kuzeheka mapema

 

photo by albart tz
Utafiti: Wanaoishi kwenye nyumba za kupanga wanazeeka haraka


Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Essex na Chuo Kikuu cha Adelaide nchini Australia umebainisha kuwa kukodi nyumba kutoka kwa mtu kibinafsi au kampuni binafsi kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka kwa asilimia 100 kulinganisha na wanaomiliki nyumba zao wenyewe.

Njia hili imeonekana kuwa na athari zaidi katika kuzeesha mtu kuliko ile ya kutumia sigara na ukosefu wa ajira ambayo awali iliyokuwa ikijulikana kama kichocheo kikubwa zaidi cha uzee.

Katika mambo yaliyoainishwa na utafiti huo yanayopelekea hali ya uzee kwa wapangaji wa nyumba binafsi ni kudaiwa kodi za nyumba mara kwa mara, kupangisha nyumba zilizo katika maneneo yenye viwango vya juu vya uchafuzi wa mazingira au nyumba zilizopo katika mazingira yenye usumbufu mwingi.

Utafiti huo unaeleza uzee huo husababishwa na msongo wa mawazo, jambo linalopelekea mwili kuzeeka upesi.

Utafiti huo umebainisha pia kuwa wale waishio katika makazi ya kijamii ambayo hayamilikiwi na mtu binafsi, kampuni binafsi au wanaoishi katika nyumba wanazozimiliki wenyewe hawakumbani na hali ya kuzeeka upesi kwa kuwa makazi hayo huwa yenye gharama nafuu na yenye ulinzi wa wa uhakika.
Utafiti huo uliendeshwa kwa kutumia taarifa za kiafya zilizokusanywa kutoka kwa watu 1,420 walioishi katika kaya mbalimbali huko nchini uingereza.

Utafiti huo umechapishwa katika jarida la ‘Epidemology’ na afya ya jamii [Epidemiology and Community Health].

Research: Those living in tenements are aging fast

A new study conducted by the University of Essex and the University of Adelaide in Australia has determined that renting a home from a private person or company can cause a person to age 100 percent faster compared to owning their own home.

This method has been found to have a greater effect on aging than smoking and unemployment, which were previously known as the biggest drivers of aging.

Among the factors identified by the study that lead to the aging of private house renters are being charged house rents regularly, renting houses in areas with high levels of environmental pollution or houses in an environment with many disturbances.

The study explains that aging is caused by mental stress, which causes the body to age quickly.
The research has also identified that those who live in social housing that is not owned by an individual, private company or who live in houses that they own do not experience aging quickly because the housing is cheap and has guaranteed protection.

The study was conducted using health information collected from 1,420 people who lived in different households in England.

The study has been published in the journal 'Epidemology' and community health [Epidemiology and Community Health].

Also cheki

Msomi wetu

Tembelea bloggers yetu kwa ajili ya kupata habari mbalimbali za michezo burudani elimu nakadhalika

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post